iqna

IQNA

misimamo mikali ya kidini
Mkutano wa Idhaa za Qur'ani Duniani
TEHRAN (IQNA)-Mkurugenzi wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kiislamu ya Utangazaji (IBU) Mohamed Salem Walad Boake amesema idhaa za Qur'ani duniani zinaweza kuwa kati ya njia muafaka zaidi za kukabiliana na wimbi la misimamo mikali ya kidini .
Habari ID: 3471377    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/01